Swali: Inajuzu kwa mwanamume kulala na mke wake karibu karibu katika Ramadhaan wakati wa mchana pamoja na kujua ya kwamba hakukusudia kitu kingine?
Jibu: Mwanamume akilala pamoja na mke wake katika mchana wa Ramadhaan na wakati huo huo mwanamume huyo akawa ni mwenye kuyamiliki matamanio yake na asitokwe na manii na mfano wake basi swawm yake ni sahihi.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/316)
- Imechapishwa: 17/06/2017
Swali: Inajuzu kwa mwanamume kulala na mke wake karibu karibu katika Ramadhaan wakati wa mchana pamoja na kujua ya kwamba hakukusudia kitu kingine?
Jibu: Mwanamume akilala pamoja na mke wake katika mchana wa Ramadhaan na wakati huo huo mwanamume huyo akawa ni mwenye kuyamiliki matamanio yake na asitokwe na manii na mfano wake basi swawm yake ni sahihi.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/316)
Imechapishwa: 17/06/2017
https://firqatunnajia.com/inajuzu-kwa-wanandoa-kulala-kitanda-kimoja-mchana-wa-ramadhaan/