Imempita swalah kwa sababu ya msongamano wa magari

Swali: Wakati fulani inanipita swalah ya mkusanyiko kwa sababu ya msongamano wa magari. Je, ni udhuru wa Kishari´ah?

Jibu: Ndio. Inazingatiwa ni udhuru wa Kishari´ah kwa sababu hukuweza kuswali kwa sababu ya msongamano wa magari.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 30/10/2020