Swali: Je, inamlazimu imamu kungojea ikiwa anawasikia wanakuja kwa haraka wakati yuko katika Rukuu´ au mwisho wa Tashahhud ya mwisho?
Jibu: Bora ni kutojiharakisha. Bora kwa imamu awe na utulivu kwa namna ambayo haiwapi uzito maamuma waliokwishakuingia katika swalah, kwa sababu kuzingatia hali ya maamuma wa mwanzo ni muhimu zaidi. Kwa hivyo inampasa awazingatie. Lakini ikiwa atasubiri kidogo ili anayekuja awahi Rukuu´, Sujuud au Tashahhud pamoja na imamu, basi hilo ni bora zaidi na linafaa zaidi kwa imamu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/151)
- Imechapishwa: 05/03/2026
Swali: Je, inamlazimu imamu kungojea ikiwa anawasikia wanakuja kwa haraka wakati yuko katika Rukuu´ au mwisho wa Tashahhud ya mwisho?
Jibu: Bora ni kutojiharakisha. Bora kwa imamu awe na utulivu kwa namna ambayo haiwapi uzito maamuma waliokwishakuingia katika swalah, kwa sababu kuzingatia hali ya maamuma wa mwanzo ni muhimu zaidi. Kwa hivyo inampasa awazingatie. Lakini ikiwa atasubiri kidogo ili anayekuja awahi Rukuu´, Sujuud au Tashahhud pamoja na imamu, basi hilo ni bora zaidi na linafaa zaidi kwa imamu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/151)
Imechapishwa: 05/03/2026
https://firqatunnajia.com/imamu-kuwasubiri-wanaotaka-kuwahi-rakah/