Ibn Baaz kuhusu swalah ya Istikhaarah na mahali pa du´aa yake

Swali: Du´aa inakuwa baada ya swalah hii au mwishoni mwake?

Jibu: Baada ya swalah, kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”… aswali Rak´ah mbili kisha aseme… ”

 Swali: Hata kama itakuwa ni wakati uliokatazwa?

Jibu: Hapana, katika wakati ambao haukukatazwa.

Swali: Anyanyue mikono yake?

Jibu: Hakukupokelewa kitu juu ya hilo. Jamob ni lenye wasaa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24305/متى-يكون-دعاء-الاستخارة-وهل-يرفع-يديه
  • Imechapishwa: 28/09/2024