Swali: Je, inajuzu kwa mwenye kuswali kuweka viatu vyake kama Sutrah yake katika swalah?
Jibu: Sunnah haijuzu kufanya hivyo, yaani asiviweke mbele yake kama Sutrah. Ikiwa atapata Sutrah kama ukuta, nguzo, mlango, fimbo atakayoiweka mbele yake au achore mstari chini endapo hatapata kitu cha kuweka mbele yake. Ama viatu Sunnah ni avae na aswali navyo au avivue na aviweke kati ya miguu yake. Asiviweke mbele yake kama Sutrah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Aswali navyo au aviweke kati ya miguu yake.”
Ikiwa ni imamu au anaswali peke yake, basi aviweke upande wake wa kushoto, asiviweke mbele yake kabisa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1676/حكم-وضع-النعلين-سترة-امام-المصلي
- Imechapishwa: 07/06/2026
Swali: Je, inajuzu kwa mwenye kuswali kuweka viatu vyake kama Sutrah yake katika swalah?
Jibu: Sunnah haijuzu kufanya hivyo, yaani asiviweke mbele yake kama Sutrah. Ikiwa atapata Sutrah kama ukuta, nguzo, mlango, fimbo atakayoiweka mbele yake au achore mstari chini endapo hatapata kitu cha kuweka mbele yake. Ama viatu Sunnah ni avae na aswali navyo au avivue na aviweke kati ya miguu yake. Asiviweke mbele yake kama Sutrah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Aswali navyo au aviweke kati ya miguu yake.”
Ikiwa ni imamu au anaswali peke yake, basi aviweke upande wake wa kushoto, asiviweke mbele yake kabisa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1676/حكم-وضع-النعلين-سترة-امام-المصلي
Imechapishwa: 07/06/2026
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-kuweka-viatu-kama-sutrah/