Hapa ndipo inafaa kwa mgonjwa kukusanya swalah

Swali: Je, inafaa kwa kila mgonjwa kukusanya kati ya swalah mbili?

Jibu: Ikiwa anapata uzito kuswali kila swalah ndani ya wakati wake. Wasikusanye isipokuwa pale wanapohisi uzito.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 27/12/2020