Eda ya mwanamke anayenyonyesha

Swali: Mwanamme akimtaliki mke wake wakati ambapo anamnyonyesha mtoto wake na huku yuko ndani ya eda hapati hedhi mpaka imalizike miaka miwili. Ni ipi eda yake?

Jibu: Eda yake inahesabiwa kwa kuangalia hedhi. Ikiwa anapata hedhi, basi atasubiri mpaka irudi hedhi na atakaa eda kwa mujibu wa hedhi hiyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 27/05/2023