Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma du´aa ya kufungulia swalah katika swalah za kujitolea za Rawaatib? Je, ni jambo linalopendeza?
Jibu: Inapendeza kuomba du´aa. Ni jambo linalopendeza katika swalah za kujitolea na swalah za faradhi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1431/حكم-دعاء-الاستفتاح-في-صلاة-النافلة
- Imechapishwa: 03/04/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma du´aa ya kufungulia swalah katika swalah za kujitolea za Rawaatib? Je, ni jambo linalopendeza?
Jibu: Inapendeza kuomba du´aa. Ni jambo linalopendeza katika swalah za kujitolea na swalah za faradhi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1431/حكم-دعاء-الاستفتاح-في-صلاة-النافلة
Imechapishwa: 03/04/2026
https://firqatunnajia.com/duaa-ya-kufungulia-swalah-katika-rawaatib/