Swali: Ni ipi dalili ya yule aliyewajibisha fidia ya kondoo mmoja ikiwa amefanya jimaa hali ya kuwa katika Ihraam? Je, analazimika kurudia ´Umrah mwaka unaofuata?
Jibu: Hadiyth zipo kuwa ikiwa atafanya jimaa kabla ya kutoka katika Ihraam ya kwanza, kabla ya kuanza kufanya yale mambo aliyokuwa amekatazwa, hajarusha vijiwe kwenye nguzo, hajatufu wala hajapunguza nywele, basi huyu analazimika kuchinja kondoo. Hajj yake hubatilika, hajj yake huharibika. Ama ikiwa ilikuwa baada ya kutoka kwenye Ihraam ya kwanza, baada ya kurusha vijiwe kwenye nguzo, basi huyu analazimika kuchinja kondoo mmoja tu. Dalili katika hilo ni yale waliyotoa fatwa Maswahabah, kundi miongoni mwa Maswahabah wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1382/دليل-وجوب-الفدية-على-المحرم-اذا-جامع-اهله
- Imechapishwa: 05/04/2026
Swali: Ni ipi dalili ya yule aliyewajibisha fidia ya kondoo mmoja ikiwa amefanya jimaa hali ya kuwa katika Ihraam? Je, analazimika kurudia ´Umrah mwaka unaofuata?
Jibu: Hadiyth zipo kuwa ikiwa atafanya jimaa kabla ya kutoka katika Ihraam ya kwanza, kabla ya kuanza kufanya yale mambo aliyokuwa amekatazwa, hajarusha vijiwe kwenye nguzo, hajatufu wala hajapunguza nywele, basi huyu analazimika kuchinja kondoo. Hajj yake hubatilika, hajj yake huharibika. Ama ikiwa ilikuwa baada ya kutoka kwenye Ihraam ya kwanza, baada ya kurusha vijiwe kwenye nguzo, basi huyu analazimika kuchinja kondoo mmoja tu. Dalili katika hilo ni yale waliyotoa fatwa Maswahabah, kundi miongoni mwa Maswahabah wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1382/دليل-وجوب-الفدية-على-المحرم-اذا-جامع-اهله
Imechapishwa: 05/04/2026
https://firqatunnajia.com/dalili-ya-kuchinja-kondoo-kwa-aliyefanya-jimaa-katika-ihraam/