Swali: Ikiwa mwanamke anahitajia kufanyiwa operesheni na asipate nchini mwake isipokuwa tu daktari mpasuaji wa kiume. Lakini hata hivyo kuna wanawake wapasuaji wasiokuwa waislamu katika miji mingine. Ni kipi bora zaidi katika hali kama hii?
Jibu: Afanyiwe operesheni na mwanaume. Hakuna neno kwa sababu ni dharurah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
- Imechapishwa: 24/07/2019
Swali: Ikiwa mwanamke anahitajia kufanyiwa operesheni na asipate nchini mwake isipokuwa tu daktari mpasuaji wa kiume. Lakini hata hivyo kuna wanawake wapasuaji wasiokuwa waislamu katika miji mingine. Ni kipi bora zaidi katika hali kama hii?
Jibu: Afanyiwe operesheni na mwanaume. Hakuna neno kwa sababu ni dharurah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
Imechapishwa: 24/07/2019
https://firqatunnajia.com/daktari-mpasuaji-mmoja-katika-mji/