Swali: Baadhi ya jibini huingizwa katika utengenezaji wake kitu kinachojulikana kama kimeng’enya cha ndama na jibini hizi ni za kuagizwa kutoka nje. Ni ipi hukumu yake?
Jibu: Asili katika jibini zinazopatikana miongoni mwa waislamu ni halali, mpaka ijulikane kuwa ndani yake kuna kitu najisi. Vinginevyo msingi wake ni uhalali. Vile vinavyoletwa kutoka nchi zetu, asili yake ni halali pia, isipokuwa ijulikane kwa hakika kuwa ndani yake kuna kitu kinachoharamisha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (23/21)
- Imechapishwa: 22/02/2026
Swali: Baadhi ya jibini huingizwa katika utengenezaji wake kitu kinachojulikana kama kimeng’enya cha ndama na jibini hizi ni za kuagizwa kutoka nje. Ni ipi hukumu yake?
Jibu: Asili katika jibini zinazopatikana miongoni mwa waislamu ni halali, mpaka ijulikane kuwa ndani yake kuna kitu najisi. Vinginevyo msingi wake ni uhalali. Vile vinavyoletwa kutoka nchi zetu, asili yake ni halali pia, isipokuwa ijulikane kwa hakika kuwa ndani yake kuna kitu kinachoharamisha.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (23/21)
Imechapishwa: 22/02/2026
https://firqatunnajia.com/asili-ya-jibini-zinazoletwa-katika-nchi-za-waislamu/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket