Swali: Ikiwa mtu ataingia ndani ya Hijr kisha akaifanya Ka´bah iwe nyuma yake – Je, swalah yake inasihi?
Jibu: Ndani ya Hijr yote imo katika Ka´bah isipokuwa upande mdogo tu, takriban dhiraa saba, zote ni katika Ka´bah. Hata hivyo inapaswa uso wake uwe umeelekezwa kwenye Ka´bah akiwa ndani ya Hijr, kwani Ka´bah ipo mbele yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31614/ما-حكم-من-صلى-داخل-الحجر-والكعبة-خلفه
- Imechapishwa: 08/11/2025
Swali: Ikiwa mtu ataingia ndani ya Hijr kisha akaifanya Ka´bah iwe nyuma yake – Je, swalah yake inasihi?
Jibu: Ndani ya Hijr yote imo katika Ka´bah isipokuwa upande mdogo tu, takriban dhiraa saba, zote ni katika Ka´bah. Hata hivyo inapaswa uso wake uwe umeelekezwa kwenye Ka´bah akiwa ndani ya Hijr, kwani Ka´bah ipo mbele yake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31614/ما-حكم-من-صلى-داخل-الحجر-والكعبة-خلفه
Imechapishwa: 08/11/2025
https://firqatunnajia.com/anayeswali-ndani-ya-hijr-na-kabah-iko-nyuma-yake/