Swali: Kijana kutoka nje ya Saudi Arabia ambaye amefunga ndoa na msichana lakini bado hajamwingilia. Je, inajuzu kwao kusafiri kufanya ‘Umrah kabla ya sherehe ya harusi?
Jibu: Ndiyo, hapana vibaya. Huyo ni mke wake kwa mujibu wa Shari´ah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/209)
- Imechapishwa: 20/02/2026
Swali: Kijana kutoka nje ya Saudi Arabia ambaye amefunga ndoa na msichana lakini bado hajamwingilia. Je, inajuzu kwao kusafiri kufanya ‘Umrah kabla ya sherehe ya harusi?
Jibu: Ndiyo, hapana vibaya. Huyo ni mke wake kwa mujibu wa Shari´ah.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/209)
Imechapishwa: 20/02/2026
https://firqatunnajia.com/anataka-kusafiri-na-mchana-baada-ya-ndoa-lakini-kabla-ya-kufanya-walima/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket