Anahijiwa aliyeacha kuhiji kwa uzembe?

Swali 395: Vipi maiti ambaye hakuhiji kwa kuzembea kwake?

Jibu: Ahijiwe kutoka katika mali yake. Hapana vibaya endapo atajitokeza mtu akajitolea kwa ajili yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 135
  • Imechapishwa: 17/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´