Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kujikohoza kwa haja [ndani ya swalah] au anaruhusiwa kupiga makofi tu?
Jibu: Inajuzu kwake kujihoza wakati wa haja. Kwa kuwa kujikohoza sio sauti ilio na fitina. Sauti yake imekatazwa kwa kuwa ina fitina. Ama kuhusu kujikohoza hakuna fitina ndani yake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
- Imechapishwa: 09/11/2014
Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kujikohoza kwa haja [ndani ya swalah] au anaruhusiwa kupiga makofi tu?
Jibu: Inajuzu kwake kujihoza wakati wa haja. Kwa kuwa kujikohoza sio sauti ilio na fitina. Sauti yake imekatazwa kwa kuwa ina fitina. Ama kuhusu kujikohoza hakuna fitina ndani yake.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
Imechapishwa: 09/11/2014
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-mwanamke-kujikohowesha-ndani-ya-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)