al-Albaaniy kuhusu Ashaa´irah

Swali: Je, ´Ashaa´irah ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah?

Jibu: Jibu la uadilifu ni kusema kwamba wao ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah katika mambo mengi na sio katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah katika mambo machache.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (327)
  • Imechapishwa: 13/03/2019