Ni jambo linalotambulika kwamba adui anayejionesha kwa Uislamu ni mbaya zaidi juu ya waislamu kuliko adui aliyejitangaza waziwazi. Mnafiki anayejitangaza kuwa ni muislamu, hali ya kuwa ni mnafiki na ni adui wa waislamu kwa matendo yake na vitimbi vyake dhidi ya waislamu ni mbaya zaidi juu yao kuliko makafiri waliojitangaza waziwazi. Kwa sababu hiyo wanafiki wakawa ni wapotofu zaidi kuliko makafiri waliojitangaza waziwazi na wakawa katika daraja ya chini kabisa Motoni. Kwa nini? Kwa sababu walidhihirisha Uislamu na wakaukadhibisha kwa ndani na wakawafanyia hila kwa siri. Vivyo hivyo kila mwenye kufanana nao miongoni mwa Nuswayriyyah, Raafidhwah na mengineyo. Wako katika hali hii. Khatari yao juu ya waislamu ni kubwa zaidi, kwa sababu walijionesha kwa Uislamu na wakadai Uislamu, lakini ndani kwa ndani wanaupiga vita Uislamu, wanalingania kinyume chake na wanalingania imani na madhehebu yasiyo yale yaliyokuja na Uislamu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1439/خطورة-اهل-البدع-على-الاسلام
- Imechapishwa: 03/04/2026
Ni jambo linalotambulika kwamba adui anayejionesha kwa Uislamu ni mbaya zaidi juu ya waislamu kuliko adui aliyejitangaza waziwazi. Mnafiki anayejitangaza kuwa ni muislamu, hali ya kuwa ni mnafiki na ni adui wa waislamu kwa matendo yake na vitimbi vyake dhidi ya waislamu ni mbaya zaidi juu yao kuliko makafiri waliojitangaza waziwazi. Kwa sababu hiyo wanafiki wakawa ni wapotofu zaidi kuliko makafiri waliojitangaza waziwazi na wakawa katika daraja ya chini kabisa Motoni. Kwa nini? Kwa sababu walidhihirisha Uislamu na wakaukadhibisha kwa ndani na wakawafanyia hila kwa siri. Vivyo hivyo kila mwenye kufanana nao miongoni mwa Nuswayriyyah, Raafidhwah na mengineyo. Wako katika hali hii. Khatari yao juu ya waislamu ni kubwa zaidi, kwa sababu walijionesha kwa Uislamu na wakadai Uislamu, lakini ndani kwa ndani wanaupiga vita Uislamu, wanalingania kinyume chake na wanalingania imani na madhehebu yasiyo yale yaliyokuja na Uislamu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1439/خطورة-اهل-البدع-على-الاسلام
Imechapishwa: 03/04/2026
https://firqatunnajia.com/ahl-ul-bidah-ni-wabaya-zaidi-kuliko-mayahudi-na-manaswara/