191 – Qutaybah bin Sa´iyd ametukhabarisha: al-Layth ametukhabarisha, kutoka kwa Abuz-Zubayr, kutoka kwa Ja abir, ambaye amesema:

“Mtumwa wa Haatwib alikuja kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) kumshtaki Haatwib na akasema: “Ee Mtume wa Allaah! Hakika Haatwib ataingia Motoni.” Ndipo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akasema: “Unasema uwongo. Hatoinigia, kwani ameshuhduia Badr na Hudaybiyah.”[1]

[1] Muslim (2495).

  • Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 124
  • Imechapishwa: 29/09/2026