Swali: Kutekelezewa adhabu ya kidini kunafuta madhambi au ni lazima pamoja na hivo mtu atubie?

Jibu: Adhabu za kidini ni zenye kufuta madhambi. Tawbah inafuta madhambi na adhabu kidini zinafuta madhambi ikiwa hatorejea katika kitendo chake. Nakusudia kwamba inafuta madhambi aliyoyafanya kabla ya kusimamishiwa adhabu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24400/هل-اقامة-الحد-مكفر-ام-لا-بد-من-التوبة
  • Imechapishwa: 05/10/2024