77 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah anapotoa amri huko juu ya mbingu Malaika hupiga mbawa zao kwa kuyanyenyekea maneno Yake. Kama vile ni mnyororo juu ya mlima.”
Ameipokea al-Bukhaariy[1].
[1] Ameisahihisha at-Tirmidhiy. Kuna Hadiyth nyingine iliyosimuliwa na Ibn Mas´uud ambayo inaitia nguvu na ameipokea al-Bukhaariy na Muslim. Nimeikagua katika ”as-Swahiyhah” (1293).
- Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 115
- Imechapishwa: 30/06/2024
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
77 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah anapotoa amri huko juu ya mbingu Malaika hupiga mbawa zao kwa kuyanyenyekea maneno Yake. Kama vile ni mnyororo juu ya mlima.”
Ameipokea al-Bukhaariy[1].
[1] Ameisahihisha at-Tirmidhiy. Kuna Hadiyth nyingine iliyosimuliwa na Ibn Mas´uud ambayo inaitia nguvu na ameipokea al-Bukhaariy na Muslim. Nimeikagua katika ”as-Swahiyhah” (1293).
Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 115
Imechapishwa: 30/06/2024
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/78-hapa-ndipo-malaika-hupiga-kwa-mbawa-zao/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)