72. Nguzo na mambo ya wajibu katika Hajj

Nguzo za Hajj ni:

1 – Kusimama ´Arafah.

2 – Twawaaf ya kuondoka.

Mambo yake ya wajibu ni:

1 – Kuingia katika Ihraam kutoka katika kituo husika.

2 – Kusimama ´Arafah mpaka usiku.

3 – Kulala Muzdalifah mpaka nusu ya usiku.

4 – Kufanya Sa´y.

5 – Kulala Minaa.

6 – Kurusha vijiwe

7 – Kunyoa nywele.

8 – Kufanya Twawaaf ya kuaga.

  • Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 49
  • Imechapishwa: 11/11/2026