Download10-
بِسْمِ اللَّهِ] اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْخُبْثِ وَالْخَبائِث]
“[Kwa jina la Allaah]. Ee Allaah! Najilinda Kwako kutokamana na mashaytwaan ya kiume na ya kike.”[1]
[1] al-Bukhaariy (142) na Muslim (283). Nyongeza isemayo:
“Kwa jina la Allaah” mwanzoni ameipokea Sa´iyd bin Mansuur. Tazama “Fath-ul-Baariy” (01/244).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 23/06/2018