3 – Miongoni mwa faida za swawm ni kwamba humwezesha mtu kuishinda nafsi yake inayoamrisha mabaya. Nafsi hiyo huwa na nguvu zaidi wakati wa kushiba, ikimvuta mtu kuelekea kwenye matamanio yaliyo haramu. Lakini swawm inapokuja humuwezesha mtu kuizuia nafsi yake, kuishika hatamu yake na kuiongoza kuelekea haki.
4 – Miongoni mwa faida za swawm ni kwamba humrahisishia mwenye kufunga kutekeleza matendo ya utiifu. Hili linaonekana wazi katika mashindano ya wenye kufunga katika kufanya ´ibaadah na matendo mema, ambayo huenda walikuwa wakiyalegea au kuyahisi kuwa mazito nje ya wakati wa swawm.
5 – Miongoni mwa faida za swawm ni kwamba hulainisha moyo na kuufanya uwe mnyenyekevu kwa kumtaja Allaah (´Azza wa Jall) na huondoa vishughulisho vinavyouzuia moyo huo.
6 – Miongoni mwa faida za swawm ni kwamba huenda ikasababisha ndani ya moyo wa mja kupenda matendo ya utiifu na kuchukia maasi kwa hali ya kudumu, jambo ambalo humfanya awe na msukumo wa kurekebisha mitazamo ya mwanadamu na mwenendo wake katika maisha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ithaaf Ahl-il-Iymaan bi Duruus Shahri Ramadhwaan, uk. 31
- Imechapishwa: 24/02/2026
3 – Miongoni mwa faida za swawm ni kwamba humwezesha mtu kuishinda nafsi yake inayoamrisha mabaya. Nafsi hiyo huwa na nguvu zaidi wakati wa kushiba, ikimvuta mtu kuelekea kwenye matamanio yaliyo haramu. Lakini swawm inapokuja humuwezesha mtu kuizuia nafsi yake, kuishika hatamu yake na kuiongoza kuelekea haki.
4 – Miongoni mwa faida za swawm ni kwamba humrahisishia mwenye kufunga kutekeleza matendo ya utiifu. Hili linaonekana wazi katika mashindano ya wenye kufunga katika kufanya ´ibaadah na matendo mema, ambayo huenda walikuwa wakiyalegea au kuyahisi kuwa mazito nje ya wakati wa swawm.
5 – Miongoni mwa faida za swawm ni kwamba hulainisha moyo na kuufanya uwe mnyenyekevu kwa kumtaja Allaah (´Azza wa Jall) na huondoa vishughulisho vinavyouzuia moyo huo.
6 – Miongoni mwa faida za swawm ni kwamba huenda ikasababisha ndani ya moyo wa mja kupenda matendo ya utiifu na kuchukia maasi kwa hali ya kudumu, jambo ambalo humfanya awe na msukumo wa kurekebisha mitazamo ya mwanadamu na mwenendo wake katika maisha.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ithaaf Ahl-il-Iymaan bi Duruus Shahri Ramadhwaan, uk. 31
Imechapishwa: 24/02/2026
https://firqatunnajia.com/29-miongoni-mwa-faida-za-swawm-ii/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket