Swali 26: Wengi katika ndugu wanatilia umuhimu kikao cha mapumziko (جلسة الاستراحة) na wanawakemea wale wanaokiacha. Ni ipi hukumu yake? Je, ni jambo limewekwa katika Shari´ah kwa imamu na maamuma kama ambavo imewekwa katika Shari´ah kwa anayeswali peke yake?
Jibu: Kikao cha mapumziko kimependekezwa kwa imamu, maamuma na anayeswali peke yake. Ni miongoni mwa aina za kikao kati ya Sujuud mbili. Ni kikao chepesi ambacho hakukusuniwa ndani yake Dhikr wala du´aa. Hapana neno kwa mwenye kukiacha. Haidyth juu yake zimethibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kupitia kwa Maalik bin al-Huwayrith, Abu Humayd as-Saa´idiy na kikosi cha Maswahabah wengine (Radhiya Allaahu ´anhum).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Muhimmah, uk. 28-29
- Imechapishwa: 21/08/2022
Swali 26: Wengi katika ndugu wanatilia umuhimu kikao cha mapumziko (جلسة الاستراحة) na wanawakemea wale wanaokiacha. Ni ipi hukumu yake? Je, ni jambo limewekwa katika Shari´ah kwa imamu na maamuma kama ambavo imewekwa katika Shari´ah kwa anayeswali peke yake?
Jibu: Kikao cha mapumziko kimependekezwa kwa imamu, maamuma na anayeswali peke yake. Ni miongoni mwa aina za kikao kati ya Sujuud mbili. Ni kikao chepesi ambacho hakukusuniwa ndani yake Dhikr wala du´aa. Hapana neno kwa mwenye kukiacha. Haidyth juu yake zimethibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kupitia kwa Maalik bin al-Huwayrith, Abu Humayd as-Saa´idiy na kikosi cha Maswahabah wengine (Radhiya Allaahu ´anhum).
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Muhimmah, uk. 28-29
Imechapishwa: 21/08/2022
https://firqatunnajia.com/26-kikao-cha-mapumziko-kimependekezwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)