16. Jambo la tano linalofunguza: Kupata hedhi na nifasi

 5- Kutoka damu ya hedhi na nifasi. Pale tu mwanamke ataona damu ya hedhi au nifasi basi amekwishafungua na atalazimika kulipa. Hilo ni kutokana na maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu ya mwanamke:

“Je, anapoingia hedhini si haswali wala hafungi?”[1]

[1] al-Bukhaariy (304).

  • Mhusika: Nukhbatin minal-´Ulamaa´
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fiqh-ul-Muyassar, uk. 158
  • Imechapishwa: 25/04/2020