Damu ya uzazi ni damu inayotoka kwa sababu ya kujifungua. Hukumu yake ni kama hukumu ya hedhi katika yale yanayohalalishwa, yanayoharamishwa, yanayolazimika na yanayoanguka kwa sababu yake.
Muda wake mrefu zaidi ni siku arobaini, lakini hakuna kiwango maalum cha muda wake mfupi zaidi.
Pindi anapoona twahara, anaoga na huwa ni mwenye twahara. Ikiwa d amu itarudi ndani ya muda wa siku arobaini, basi hiyo pia ni damu ya uzazi.
- Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 19
- Imechapishwa: 04/10/2026
Damu ya uzazi ni damu inayotoka kwa sababu ya kujifungua. Hukumu yake ni kama hukumu ya hedhi katika yale yanayohalalishwa, yanayoharamishwa, yanayolazimika na yanayoanguka kwa sababu yake.
Muda wake mrefu zaidi ni siku arobaini, lakini hakuna kiwango maalum cha muda wake mfupi zaidi.
Pindi anapoona twahara, anaoga na huwa ni mwenye twahara. Ikiwa d amu itarudi ndani ya muda wa siku arobaini, basi hiyo pia ni damu ya uzazi.
Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 19
Imechapishwa: 04/10/2026
https://firqatunnajia.com/11-damu-ya-uzazi/