07. Hadiyth “Mtume alikuwa anaanza kufanya kitu gani… “

211 – Shurayh bin Haani´ amesema:

قلتُ لعائشةَ رضي الله عنها بأيِّ شيء كان يبدأ النبي – صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ – إذا دَخل بيْته؟ قالت: بالسواك

“Nilisema kumuuliza ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa): “Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anaanza kufanya kitu gani anapoingia nyumbani kwake?” Akajibu: “Kutumia Siwaak.”[1]

Ameipokea Muslim na wengineo.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/203)
  • Imechapishwa: 11/01/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy