Swali: Inajuzu kuwapa ndugu zakaah kama baba na mtoto?
Jibu: Hapana. Usimpe zakaah mtoto wako wala baba yako. Haijuzu kuwapa zakaah ndugu kwa sababu ni wajibu kwako kuwapa matumizi katika mali yako na sio katika zakaah yako.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
- Imechapishwa: 16/07/2017
Swali: Inajuzu kuwapa ndugu zakaah kama baba na mtoto?
Jibu: Hapana. Usimpe zakaah mtoto wako wala baba yako. Haijuzu kuwapa zakaah ndugu kwa sababu ni wajibu kwako kuwapa matumizi katika mali yako na sio katika zakaah yako.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
Imechapishwa: 16/07/2017
https://firqatunnajia.com/zakaah-kwa-mtoto-na-baba/