Yupi bora kati ya wanawake hawa wawili?

Swali: Ikiwa mwanamke anapenda kubaki nyumbani kwake na anaona ni bora kubaki humo na hatoki hata kwenda msikitini. Na mwanamke mwingine ambaye anatoka kwenda kutafuta elimu na kwenda msikitini. Yupi bora kati ya hawa wawili?

Jibu: Mwanamke ambaye anapenda kubaki kwake na kusoma nyumbani kwake ndio bora. Kwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:

“Msiwazuia waja wa Allaah kwenda kwenye misikiti ya Allaah na nyumba zao ni bora kwao.”

Check Also

Mwanamke hana Adhaana wala Iqaamah

Swali: Ikiwa ataadhini mwanamke nyumbani kwake, au mwalimu mwanamke madrasani kwake… Jibu: Hakuna adhaana kwa mwanamke. …