Swali: Swawm ya ambaye haswali inakubaliwa?

Jibu: Hapana, haikubaliwi. Mwenye kuacha swalah hayakubaliwi matendo yake. Muda wa kuwa haswali matendo yake hayakubaliwi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 04/10/2020