Makafiri watamuona Allaah kwenye kisimamo kirefu siku ya Qiyaamah?

Swali: Je, wanafiki watamuona Allaah katika kisimamo hichi?

Jibu: Hapana:

كَلَّا إِنَّهُمْ عَن رَّبِّهِمْ يَوْمَئِذٍ لَّمَحْجُوبُونَ

“Hapana! Hakika wao siku hiyo watawekewa kizuizi [wasimuone] Mola wao.”[1]

Kubaki kwao hapo haina maana kwamba watamuona. Allaah ataizima nuru yao na kuvutwa kwenda Motoni. Tunamuomba Allaah usalama.

[1] 83:15

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24383/هل-يرى-المنافقون-ربهم-في-الموقف-يوم-القيامة
  • Imechapishwa: 04/10/2024