Swali: Ni ipi hukumu ya wanawake kung’arisha nyusi zao?
Jibu: Ikiwa nyusi zenyewe hazina tatizo lolote, basi kufanya hivyo ni kuwaiga makafiri. Nyusi zikiwa nyeusi ndizo zenye uzuri zaidi. Hili baadhi ya wanawake hulifanya kwa sababu wameona kwenye vyombo vya khabari wanawake wanaong’arisha nyusi zao. Vinginevyo jambo hili halikuwa likijulikana. Ikiwa nywele za nyusi ni nyeusi, basi kwa nini azing’arisha? Bali nyeusi ndiyo inayotakiwa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
- Imechapishwa: 26/09/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya wanawake kung’arisha nyusi zao?
Jibu: Ikiwa nyusi zenyewe hazina tatizo lolote, basi kufanya hivyo ni kuwaiga makafiri. Nyusi zikiwa nyeusi ndizo zenye uzuri zaidi. Hili baadhi ya wanawake hulifanya kwa sababu wameona kwenye vyombo vya khabari wanawake wanaong’arisha nyusi zao. Vinginevyo jambo hili halikuwa likijulikana. Ikiwa nywele za nyusi ni nyeusi, basi kwa nini azing’arisha? Bali nyeusi ndiyo inayotakiwa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
Imechapishwa: 26/09/2026
https://firqatunnajia.com/kungarisha-nyusi/