Kionja/kiramba mchuzi ni katika ndevu

Swali: Je, kionja/kiramba mchuzi ni katika ndevu?

Jibu: Ndio. Kionja mchuzi, nacho ni kile chenye kuota kwenye mdomo wa chini, ni katika ndevu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
  • Imechapishwa: 05/07/2019