Anashuku Kuwa Kuna Swalah Nyingi Zilizompita

Swali: Ninachelea kuwa kuna swalah nyingi ambazo sikuziswali miaka mingi ya nyuma. Ni lipi linalonilazimu?

Jibu: Hakuna. Maadamu unashuku tu na huna uhakika kuwa ulipitwa na swalah, hakuna kinachokulazimu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%204%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 13/03/2017