Swali: Mwenye kunuia kuswali Rak´ah mbili kisha akasimama katika Rak´ah ya tatu kwa kusahau, je, anaikamilisha Rak´ah ya tatu na iwe Witr au analazimika kurudi?
Jibu: Anarudi, alete Tashahhud na asujudu sijda ya kusahau.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
- Imechapishwa: 04/10/2026
Swali: Mwenye kunuia kuswali Rak´ah mbili kisha akasimama katika Rak´ah ya tatu kwa kusahau, je, anaikamilisha Rak´ah ya tatu na iwe Witr au analazimika kurudi?
Jibu: Anarudi, alete Tashahhud na asujudu sijda ya kusahau.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
Imechapishwa: 04/10/2026
https://firqatunnajia.com/ameinuka-katika-rakah-ya-tatu-kwa-kusahau/