Aikidhi swalah kwa kufupisha au kwa kukamilisha?

Swali: Msafiri akipitwa na swalah au akaisahau ni vipi atailipa baada ya kurudi katika mji wake; ailipe kwa kufupisha au kwa kukamilisha?

Jibu: Hapana, ailipe kwa kukamilisha. Safari imeisha kwa kurudi katika mji wake. Alipe kikamilifu swalah aliyoiacha kwa kusahau.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14020
  • Imechapishwa: 28/06/2020