5 – Kiichenguzi cha tano cha wudhuu´: Kugusa tupu ya mbele au ya nyuma kwa mkono. Hiki alichochagua Shaykh ndio maoni ya kikosi kikubwa cha wanazuoni. Na ndilo sahihi ikiwa mguso huo ni bila kizuizi. Ni mamoja iwe amegusa tupu yake au tupu ya mwingine, ni mamoja iwe anayeguswa ni mdogo au mkubwa, aliye hai au aliyekufa. Hilo ni kutokana na Hadiyth ya Busrah bint Swafwaan (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yeyote atakayegusa dhakari yake basi na atawadhe.”
Ameipokea at-Tirmidhiy (82) na wengineo na akasema: ”Hadiyth ni nzuri na Swahiyh.” Tazama ”Irwaa’-ul-Ghaliyl” (116) na ”Fataawaa al-Lajnah ad-Daa’imah” (5/263–266).
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 24-25
- Imechapishwa: 23/11/2026
5 – Kiichenguzi cha tano cha wudhuu´: Kugusa tupu ya mbele au ya nyuma kwa mkono. Hiki alichochagua Shaykh ndio maoni ya kikosi kikubwa cha wanazuoni. Na ndilo sahihi ikiwa mguso huo ni bila kizuizi. Ni mamoja iwe amegusa tupu yake au tupu ya mwingine, ni mamoja iwe anayeguswa ni mdogo au mkubwa, aliye hai au aliyekufa. Hilo ni kutokana na Hadiyth ya Busrah bint Swafwaan (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yeyote atakayegusa dhakari yake basi na atawadhe.”
Ameipokea at-Tirmidhiy (82) na wengineo na akasema: ”Hadiyth ni nzuri na Swahiyh.” Tazama ”Irwaa’-ul-Ghaliyl” (116) na ”Fataawaa al-Lajnah ad-Daa’imah” (5/263–266).
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 24-25
Imechapishwa: 23/11/2026
https://firqatunnajia.com/24-kugusa-tupu-ya-mbele-au-ya-nyuma-kwa-mkono/