Swali: Kuna mwanamke amekubaliana na mwanafunzi kuoana na ndoa yao iwe kwenye karatasi tu na wala asimwingilie mpaka kipindi walichokubaliana kiishe ambacho ni takriban mwaka mmoja. Baada ya hapo ndio wataingiliana. Pamoja na kujua ya kwamba mume huyu atalazimika kumhudumia katika kipindi hichi. Je, hili linajuzu?
Jibu: Unguza hiyo karatasi. Nafikiria huu ni wasiwasi wa Ibliys na anachotaka ni mambo ya maslahi. Sharti hii haipo katika Kitabu cha Allaah. Tunamwambia mume wake “Mwingilie na ukidhi haja zako kwake hata kama itahitajia kutumia nguvu.
Swali: Lakini hili ni baada ya kupatikana mashahidi wawili, walii na mengineyo?
Jibu: Ndio. Haya tayari yametimia. Lakini yeye anaulizia sharti hii iliyomo kwenye karatasi, ndio nikasema aunguze hiyo karatasi.
- Mhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://ar.miraath.net/fatwah/2444
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Kuna mwanamke amekubaliana na mwanafunzi kuoana na ndoa yao iwe kwenye karatasi tu na wala asimwingilie mpaka kipindi walichokubaliana kiishe ambacho ni takriban mwaka mmoja. Baada ya hapo ndio wataingiliana. Pamoja na kujua ya kwamba mume huyu atalazimika kumhudumia katika kipindi hichi. Je, hili linajuzu?
Jibu: Unguza hiyo karatasi. Nafikiria huu ni wasiwasi wa Ibliys na anachotaka ni mambo ya maslahi. Sharti hii haipo katika Kitabu cha Allaah. Tunamwambia mume wake “Mwingilie na ukidhi haja zako kwake hata kama itahitajia kutumia nguvu.
Swali: Lakini hili ni baada ya kupatikana mashahidi wawili, walii na mengineyo?
Jibu: Ndio. Haya tayari yametimia. Lakini yeye anaulizia sharti hii iliyomo kwenye karatasi, ndio nikasema aunguze hiyo karatasi.
Mhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://ar.miraath.net/fatwah/2444
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/unguza-karatasi-na-mwingilie-mke-wako/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)