Swali: Je, inajuzu kumswalia, kwa wasiokuwa Mitume, fulani (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa sababu mwanamke alimwambia mwanamke:
“Niswalie mimi na mume wangu”?
Jibu: Inajuzu kuwaswalia baadhi ya waumini. Lakini hata hivyo hili lisifanywe ndio mazowea kama wafanyavyo Raafidhhwah. Wao wanamkhusisha ´Aliy na kusema “´alayhis-Salaam” au “´alayhis-Swalaatu was-Salaam”. Ikiwa hii ni alama ya Ahl-ul-Bid´ah haijuzu kufanya hivi. Ama mtu akisema hivo baadhi ya nyakati pasi na kufanya ndio mazowea yake ni sawa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2152
- Imechapishwa: 06/09/2020
Swali: Je, inajuzu kumswalia, kwa wasiokuwa Mitume, fulani (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa sababu mwanamke alimwambia mwanamke:
“Niswalie mimi na mume wangu”?
Jibu: Inajuzu kuwaswalia baadhi ya waumini. Lakini hata hivyo hili lisifanywe ndio mazowea kama wafanyavyo Raafidhhwah. Wao wanamkhusisha ´Aliy na kusema “´alayhis-Salaam” au “´alayhis-Swalaatu was-Salaam”. Ikiwa hii ni alama ya Ahl-ul-Bid´ah haijuzu kufanya hivi. Ama mtu akisema hivo baadhi ya nyakati pasi na kufanya ndio mazowea yake ni sawa.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2152
Imechapishwa: 06/09/2020
https://firqatunnajia.com/unaweza-kuwaswalia-wasiokuwa-mitume/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)