Swali: Mke wangu amezaa mtoto siku saba kabla ya Ramadhaan kuingia. Lakini hata hivyo akatwaharika kabla ya Ramadhaan kuingia. Je, swawm yake ni timilifu au ni lazima kulipa kwa kuzinga ya kwamba anasema kuwa alifunga akiwa ni msafi?
Jibu: Mambo yakiwa kama ulivosema ya kwamba mke wako alifunga Ramadhaan akiwa msafi basi swawm yake ni sahihi na wala haimlazimu kulipa.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/155-156)
- Imechapishwa: 04/06/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket