Swali: Swalah ya kupatwa kwa jua na mwezi na swalah ya ´Iyd mbili zinanadiwa kwa kusema (الصلاة جامعة)?
Jibu: Swalah ya kupatwa kwa jua ndiyo inanadiwa kwa kusema hivo pekee. Ama ´Iyd mbili, hapana. Hazina Iqaaamah wala adhaana. Ni kupatwa kwa jua tu ndio inanadiwa kwa kusema (الصلاة جامعة). Ama swalah ya ´Iyd haina tangazo lolote wala (الصلاة جامعة) wala kitu kingine. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiswali bila adhaana wala Iqaamah. Swalah ya ´Iyd na ya kuomba mvua zinajulikana. Hazihitaji adhaana.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31550/حكم-قول-الصلاة-جامعة-في-الكسوف-والعيدين
- Imechapishwa: 02/11/2025
Swali: Swalah ya kupatwa kwa jua na mwezi na swalah ya ´Iyd mbili zinanadiwa kwa kusema (الصلاة جامعة)?
Jibu: Swalah ya kupatwa kwa jua ndiyo inanadiwa kwa kusema hivo pekee. Ama ´Iyd mbili, hapana. Hazina Iqaaamah wala adhaana. Ni kupatwa kwa jua tu ndio inanadiwa kwa kusema (الصلاة جامعة). Ama swalah ya ´Iyd haina tangazo lolote wala (الصلاة جامعة) wala kitu kingine. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiswali bila adhaana wala Iqaamah. Swalah ya ´Iyd na ya kuomba mvua zinajulikana. Hazihitaji adhaana.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31550/حكم-قول-الصلاة-جامعة-في-الكسوف-والعيدين
Imechapishwa: 02/11/2025
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-pamoja-wakati-wa-kupatwa-kwa-jua-na-swalah-ya-iyd/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket