Swalah ndani ya msikiti uliyojengwa kwa pesa za haramu

Swali 148: Je, waislamu waswali ndani ya msikiti uliyojengwa kwa pesa ya haramu?

Jibu: Ndio, dhambi zake zinamwendea aliyeujenga.

Swali 149: Vipi kuhusu msikiti uliojengwa kwa haramu?

Jibu: Unaswaliwa ndani yake. Dhambi ni juu ya aliyeujenga. Uimarishwe kwa utiifu wa Allaah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 70
  • Imechapishwa: 27/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´