Masjid Buraaq Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Salaf167794 Salam aleikum.
Salaf165620 Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh
Salaf165620 Natarajia ikhwa munatupata sawa sauti in shaa Allah
Salaf161263 nam twawapata vzr kutoka Sweden
Salaf165620 Masha Allah barakallahu fikum@Salaf161263:
Salaf168232 بارك الله فيك
Salaf169850 Aslam aleikum warahtullah wabarakatuh
Salaf173506 Allah ibariik nawapata vyema nkiwa Qatar
Salaf165620 Aamin wafika barakallahu Akhi@Salaf173506:
Salaf164047 Assalamu alayikum warahmatullah wabarakatuh,
Salaf164047 Allah awalipe kheri wote waliohusika kuanzisha redio hii
Salaf165620 Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatuh@Salaf164047:
Salaf165620 Allahuma Aamin nawe pia Allah akuhifadhi popote ulipo@Salaf164047:
Salaf164047
Salaf165620
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatuh@Salaf164047:
أللهم آمين
Salaf164047 Pia nakuomba mfikishie salamu zangu shekhe Abdallah
Salaf174437 Asalam aliekum warahmatullah wabarakaatuh, kuna daras nilipata ya elezea jinsi Mtume wetu alivyokuwa Anasali kuna kipengele sikukielewa naamini ntapat
Salaf174437 Je ya faa kusema Allahu Akbar unapokuwa unainuka kutoka rakaa ya pili
Idadi ya watu: 0
Kliki hapa

Masjid Buraaq Kongowea Mombasa