Redio live namba 07

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu93892 Nyinyi mabaraamika wacheni kupoteza watu
Ndugu117198 Kama wanapoteza watu watafuta nini hapa katika redio
mambo mbwana 0782038660
mambo mbwana @Ndugu117198:
mambo mbwana Usiniunge
Idadi ya watu: 0
Bonya hapa

radio

Live Radio dars 07


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara. Hii ni Redio namba 07.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com