Redio live namba 06

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu120748 Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh naswali (mwanamke akiwa katika siku zake akapona kama magharibi akajitwaharisha anapita anasali iyo swala ya magharibi na laisha tu ? Awo nazenye zimepita kama fadjiri ,dhuhuri ,lasri nazenyewe nilazima azilipe? ) shukran
Ndugu120748 Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh kutokana na iyi hali lajanga la corona kuhusu laidi Watu wanaweza kusaliya swala ya idi nyumbani ? Awo nilazima ukumbini ? Nakama nyumbani inaruhusiwa jama nikuanziya watu wangapi? Shukran
Abu-Umayr Assalam alaykum
Abu-Umayr Naomba kujua mko ukurasa wa ngapi ktk kitabu ?
Abu-Umayr jameni mko ukurasa wa ngapi
Ndugu121049 hadithi ya 24
Abu-Umayr Inafaa kumwita malakaul maut israel kama wanavosema waswahili?
Abu-Umayr Tunaomba jawabu ya swali la jana kuhusu swalah ya idi watu waswalie majumbani kwao na wafanye vipi?
Ndugu121322 asalam alayukm warahmatullah wabarakatuh.je hali kam iyi imeshawahi kutokea mpak swala za tarehew zikasimamishwa miskitin na vp tutaswali eid?
Abu Umayr Sheikh Abdul-Muhsin alitoa fatwa akasema kusali kwa kuachia mwanya mita 1 au 2 swalah haisihi. lakini takriban wiki moja baada ya kutoa fatwa hio tumeona kwa mfano makkah wanafanya hivo. je, haya ni masala yana khilaf kwa maulamaa? tunaomba ufafanuzi
Ndugu121281 swali : kwanini mashia hawamupendagi Swahaba Umar bnul khatwaab, ?wakidayi kuwa alikuwa akimtusi Mtume na wako naye
Ndugu121281 vipi kuusu hilo, Allah akubariki
Abu Umayr Allah akujaze kheri sh. Nilikuwa naomba tuwe na darsa ya masuala ya twahara na swalah wengi wetu tunayafanya kimazowea na kimila
Ndugu121378 Asalm alykum
Zuberi Dodo Hilali As salam alaykum warahmatullah wabaarakat!
Ndugu122173 Mfano uliopiga kuhusu kujizuia dakika 15 au 20 kabla ya adhana nimeona maulama wanasema jambo hilo la imsaki ni Bidah halikuthibiti na kwamba mwenye kufunga anakula hadi muadhini anapotoa adhana ndio anajizuia. Sasa tunaomba ufafanuzi zaidi hapo. Allah akulipe.
Ndugu122609 السلام عليكم ورحمة الله وبركا ته
Ndugu122609 نتبعكم جيدا بارك الله فيكم
Ndugu122609 Mm nikitaka kuuliza swali ntatumiya utaratibu gani
Ndugu122580 Afwan sheikh ni page number ngapi
Ndugu122580 Mimi niko na link
Ndugu122597 namba ya shekhe kwa yule ambae atataka kuuliza sula moja kwa moja moja apige hapa +46727645706
Ndugu122580 Namanisha nataka nifuatilie ukisomesha niwe natizama kwenye kitabu niko na link ndio ukurasa sijui niwangpi
Ndugu122597 tumeishia ukurasa wa 42 kwenye kauli ya shahada
Ndugu122607 mwisho wa nyiradi za asubuhi na jioni
Ndugu122613 اسلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Ndugu122597 وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته
Idadi ya watu: 0
Bonya hapa

radio

Live Radio dars 06

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara. Hii ni Redio namba 06.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com