Masjid Naswru Minallaah Ubungo Tz

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu154694 Niki bonyeza link Ile audio hai-play?
Ndugu154676 Radio Iko Kimya Akhy
Ndugu154787 Assalam Alaykum warahmatullahi wabarakaatuh link Kwangu siwapati
Ndugu154927 Radio iko na tatizo mwenye mixrl atupe link tafadhari
Ndugu154787 Darsa yaendelea mm siwapati
Ndugu154758 refresh page huko kwako akhi. sisi tunawapata vzr
Ndugu154758 yani toka uingie tena
Ndugu154945 hivi sasa imekata moja kwa moja, hata uki refresh page haikubali
Ndugu154917 Safi kabisa bilachenga
Ndugu155033 جزاهم اللّٰه خيرا مشايخنا السلفيين
Ndugu155100 Maa shaa allaah
Ndugu155096 Saut iko chini
Ndugu155137 Allah akubarikini ihwaa tunawapata vilivyo
Ndugu155106 Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuhu
Ndugu155091 Asalama alykum alhamdllh nawapa vema salama kwa ndugu zangu hpo msikitini mimi ndug khalid nilie hamia kibaha Allah awahifadh mashekh wetu
Ndugu155195 Asalaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh. nawapata vizuri Allah awalipe
Ndugu155091 Mtandao unasumbua tena siwapati uzuri
Ndugu155167 Saut inapand na kushuka pia redio inakat Kat. Allah awabaarik
Ndugu155193 SHEKHE NA KUPENDA KWA AJILI YA ALLA MASHAALLA
Ndugu155193 NINGEJUWA NINGEKUJA TU NIKUONE MASHAALLA NAFULLAH SANA KUSIKIA MAWAIDHA YAKE SHEKHE KASIMU MAFUTAA
Ndugu155226 Tunamkaribisha vicheji
Ndugu155150 Naaaaam
Ndugu155150 Kuna muhadhara mwingne baada ya huu?
Ndugu155091 Asalam alykum je yafaa kuswali katika misikiti ya watu wa bidaa ambao adhana yao ni bidaa iqama bidaaa na je kuswali na familia nyumban pia huesabika ni jamaa au??
Ndugu155241 Alhamdulilah kwaneema hii Allah awahifadhi mashekh atupiganie ivi ivi nakutunganisha nyoyo zetu kwa nguvu itokaye kwake
Ndugu155290 Maa shaa allah, baarakallahu fykum nawapata kutokea Kibondo Kigoma. Allah awahifadhi mashuyukh wetu wote
Ndugu155288 Shughuli imeisha Baarakallaahu fiikum tunazima mitambo
Ramadhani Kasimu mafuta
Ndugu155652 @Ramadhani: @Ramadhani:
Idadi ya watu: 0
Bonya hapa

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Radio yetu ya live/mubashara kutoka Masjid Naswru Minallaah Ubungo Tz. Hii ni Redio nambari 05.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com