Masjid ´Aaishah Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu142575 @Ndugu142500:
Ndugu142575 Aisha Sulaymaan Abdillaah
Ndugu143526 Assalamualaikum,he nis sawa mwanamke kuachana na bwanake kwa sababu ya family ya bwanake?
Ndugu143526 Je ni sawa mwanamke kulazimisha mwanaume kufunga ni keaha,akiwa bwana hajakuwa tayari
Ndugu144407 السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Ndugu145082 Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh...sheikh nauliza n ipi hukmu ya kuubusu mkono wa mamako ama Mwalimu wko
Ndugu148025 Asssz3ssza,sssaaaaasS,sse
Ndugu148026 @Nd a sasacfccycgcccc a xß Saczagawea ßßzx a Sacagawea sasacfccycgcccc a s sasacfccycgcccc ß com port eugu148025:
Ndugu149439 Barakallahu fiikum
Ndugu150149 Assalamu alaikum leo darsa inakatakata sana
Ndugu151017 Twafaidika na Redio hii,Barakallahu Fiykum
Ndugu151004 Mashaallah
Ndugu151521 Baarakallahu fiykum kwa fawaid
Ndugu151904 Jazaakumullaahu khayran
Hassan Assalam alaikum
Ndugu152044 radio haifanyi
Ndugu152794 Je ni sawa au la?
Ndugu152808 Je mwanamke akizini kisha akatubu je yafaa kuoleo na muumini
Ndugu152993 Hukumu ya kunyonyana uchi
Ndugu153137 Je niswa mwanamke kuolewa na mwanamume mwengine ,kabla halie kuwa naye awali hajampa talaka lakini wametengena
Ndugu153712 Assalamu aleykum warahmatullahi wabarakaatuh
Ndugu153865 Asaalam alaykum warahmatullah Wabarakaatuh hawa makhajawira huku kibra wameenea sana je,tuamiliane nao vipi baada kuwa ,washikamana na yahya alhajurri ni Abuu darda kutoka Nairobi masjid sunna
Ndugu153999 Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh
Ndugu155445 @Ndugu152993:
Ali abubakar Asalamu alaeikum warahmatuaalahi wabaratuh. Swali langu ni jee kutawasal na watu walo kufa inafaa kisheria
Ndugu156414 Sidee ayan kuboriin karaa
Ndugu156429 asalam alykum leo ndiyo mala yangu ya Kwanza kuwa Lev
Ndugu156429 Itaneti Aijaka vizuli
Ndugu157564 Mwanamke hafwata Yale unanyo muamrisha je yafa kumuacha
Ndugu157561 Salafi Da'wah East Africa je?
Idadi ya watu: 1
Bonya hapa

radio

Masjid ´Aaishah Mombasa


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara kutoka Masjid ´Aaishah Mombasa Kenya. Hii ni Redio nambari 02.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com