Swali: Ni ipi hukumu ya vinywaji vinavyofanana na pombe katika ladha yake, muonekano na rangi lakini havina alcohol?

Jibu: Kisicholevya hakuna neno. Msingi ni uhalali katika vyakula na vinywaji. Isipokuwa vyenye kulevya ndio haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
  • Imechapishwa: 26/06/2020