Swali: Je, mwanamke anaweza kuvaa suruwali wakati yuko na Mahram zake wanamme?

Jibu: Mwanamke hatakiwi kuvaa suruwali kwa kuwa anajifananisha na wanaume.

  • Mhusika: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qatwf-ul-Azhaar al-Mutanaathirah ´an Fataawaa al-Mar’ah al-Muslimah, uk. 704
  • Imechapishwa: 07/09/2020