Swali 619: Vipi ikiwa nyusi ni nene na mume wake amemuomba azipunguze?

Jibu: Dhahiri ya katazo ni kuwa ni haramu kwa ujumla.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 220
  • Imechapishwa: 13/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´